30 Oct 2025 1:27 pm | Citizen TV 477 views Duration: 1:36 Baadhi ya wakazi wa kijiji cha Bondo Rateng’ kaunti ya Siaya wameandamana kupinga pendekezo la kuanzishwa kwa kiwanda cha kusafisha dhahabu katika eneo hilo, wakitaja athari za kimazingira na kiafya.