Wakenya waeleza dukuku lao kuhusu Raila Odinga
Raila Odinga mwanasiasa mashuhuri na mzoefu nchini Kenya aliyepania kunyakuwa nafasi ya uongozi wa kiti cha Tume ya Umoja wa Afrika licha ya umaarufu wake na kampeni kali aliyoifanya alishindwa kushinda uchaguzi huo. Katika mkutano wa kilele wa Umoja wa Afrika uliofanyika Addis Ababa, Ethiopia, viongozi wa Afrika walimchagua Waziri wa Mambo ya Nje wa Djibouti, Mahmoud Ali Youssouf, kuwa Mwenyekiti mpya wa Tume ya Umoja wa Afrika (AUC).
Youssouf alishinda nafasi hiyo baada ya kuwabwaga wagombea wengine wawili: Raila Odinga, aliyekuwa Waziri Mkuu wa Kenya, na Richard Randriamandrato, aliyekuwa Waziri wa Mambo ya Nje wa Madagascar. Ungana na mwandishi wa VOA, Kenya Zainab Said akikuletea mtiririko wa mambo mbali mbali yanayo elezwa na wachambuzi na wananchi wa Kenya kuhusu safari ya Odinga ya kisiasa na vipi imeweza kuchangia kuanguka kwake katika uchaguzi huu. Endelea kusikiliza...
#AU #umojawaafrika #railaodinga #kenya #addisababa #djibouti #mahmoudaliyoussouf #uchaguzi #mwenyekiti #tume #williamruto #voaswahili
15 Jun 2025
- Complications emerged with the protocol of official functions during Ruto and Gachagua's tenure.
15 Jun 2025
- For some people, being alongside trickling water masses initiates the urge.
15 Jun 2025
- The president also issued a warning to other contractors.
16 Jun 2025
- In Kenya today, human life has lost its value – a tragedy our Constitution did not foresee despite Chapter Four’s Bill of Rights. Kenyan lives have become like livestock, their fate decided by owners for convenient disposal, much like cattle slaughtered…
16 Jun 2025
- The man, who is a former politician, is reportedly being discussed adversely in a high office.
16 Jun 2025
- The killing in police cells has generated national fury
16 Jun 2025
- Kadzo was a survivor of sexual violence, having been defiled while she was 13 years old.
16 Jun 2025
- Kenyans have raised concerns on the role of public participation.
16 Jun 2025
- The US Embassy has also called for accountability for the murder through a transparent probe
16 Jun 2025
- Positive sentiment extended to broader market, largely driven by Safaricom’s huge influence.
16 Jun 2025
- Some Isiolo residents from various ethnic groups have slammed the move by Members of the County Assembly (MCAs) to commence impeachment proceedings against Governor Abdi Ibrahim Guyo without proper consultation. The residents have called for the…
16 Jun 2025
- Controller of Budget Margaret Nyakan’go has fingered various Ministries, Departments and Agencies (MDAs) over the slow progress in the completion of projects worth billions of shillings. MDAs in question include Parliament, the State Department for…
16 Jun 2025
- The Financing Locally Led Climate Action (FLLoCA) is an initiative supported by the World Bank and other development partners, implemented by the government of Kenya through the National Treasury in collaboration with counties and civil society…