Skip to main content
Skip to main content

Wakenya wakabiliwa na bei ya juu ya mafuta

  • | Citizen TV
    293 views
    Wakenya wapata wakati mgumu kwa sababu bei ya mafuta yafikia kiwango cha juu zaidi kuwahi kushuhudiwa nchini. Bei mpya zatangazwa na Mamlaka ya Kudhibiti bei ya mafuta nchini, EPRA, zaonyesha kuwa bei ya petroli yaongezeka kwa shilingi 16 kwa lita huku dizeli ikiongezeka kwa shilingi 46 kwa kila lita.