Wakili wa Paul Mackenzie apuuzilia mbali uvumi wa kifo chake

  • | NTV Video
    240 views

    Wakili anayemwakilisha mhubiri tata Paul Mackenzie, Lawrence Obonyo, anayehusishwa na vifo vya wafuasi zaidi ya 400 katika msitu wa Shakahola amepuuzilia mbali uvumi unaoenea kwenye mitandao ya kijamii unaodai kuwa Mackenzie amefariki dunia na kuzitaja kuwa hazina uthibitisho.

    Subscribe and watch NTV Kenya live for latest Kenyan news today and everyday as told by Kenyans. Get the Kenya news updates, discussions and other exciting shows.

    Website: https://www.ntvkenya.co.ke || Paper: Daily Nation || Twitter: @ntvkenya || Facebook: NTV Kenya || Instagram: NTV Kenya