Wakongwe kutoka kaunti ya busia walalamikia kutelekezwa na jamii

  • | Citizen TV
    177 views

    Wazee katika kaunti ya Busia wamelalamikia kucheleweshwa kwa fedha wanazopokea kutoka kwa serikali chini ya mpango wa inua jamii. Wazee wanasema hali hiyo imewafanya kukabiliw ana wakati mgumu huku baadhi wakisema wameshindwa kukimu mahitaji yao na ya wajukuu ambao wanawatunza.