15 Jan 2026 7:49 pm | Citizen TV 534 views Duration: 2:27 Wakulima wa mpunga katika kaunti ya Kisumu wanakadiria hasara ya mamilioni ya pesa, kutokana na uvamizi wa nyuni. Kwa sasa, jumla ya ekari 94 za mpunga zimeharibiwa chini ya muda wa siku kumi