20 Jan 2026 10:43 am | Citizen TV 270 views Duration: 1:43 Wakulima kutoka kaunti ya Garissa wamehimizwa kujiunga na vyama vya ushirika ili kupata soko ya mazao na mifugo wao kwa njia ya urahisi.