Wakulima kutoka kaunti ya Mandera watoa wito kwa serikali kusaidia katika ujenzi wa mabwawa ya maji

  • | Citizen TV
    139 views

    Wakulima wa Maykorebe, kaunti ya Mandera wanatoa wito kwa serikali ya kitaifa na ile ya kaunti kujenga mabwawa zaidi ya maji ili kuongeza uzalishaji wa chakula katika kaunti hiyo.