19 Dec 2025 1:06 pm | Citizen TV 116 views Duration: 1:28 Wakulima wa mahindi katika Kaunti Ndogo ya Laikipia Magharibi wamelalamikia bei ya chini ya zao mazao yao wakidai kuwa madalali wanawanyanyasa wakulima.