Skip to main content
Skip to main content

Wakulima wa kahawa Kirinyaga waridhishwa na malipo ya mukafaa

  • | KBC Video
    149 views
    Duration: 3:03
    Wakulima wa kahawa katika kaunti ya Kirinyaga wanavuna pakubwa kufuatia mabadiliko kwenye sekta ya kahawa ambapo baadhi walilipwa kiasi kikubwa zaidi cha mukafaa kuwahi kulipwa katika miaka ya hivi majuzi. Wadau wa sekta hiyo wamesema nyongeza hiyo ya malipo imetokana na mauzo ya moja kwa moja ya kahawa, mbolea ya ruzuku na mabadiliko mengine kwenye sekta hiyo. Joseph Wakhungu anatusimulia jinsi mabadiliko hayo yanavyozaa matunda. Connect with KBC Online; Subscribe to our channel: https://t.ly/86BKNc Follow us on Twitter: https://twitter.om/KBCChannel1 Find us on Facebook: https://www.facebook.com/kbcchannel1TV Check our website: https://www.kbc.co.ke/ #kbcchannel1 #news #kbclive