- 374 viewsDuration: 2:52Wakulima kaunti ya Lamu sasa wanafanikisha mbinu mpya za kilimo cha pamba kwa kutumia aina ya mbegu zilizoboreshwa kijenetiki, wakilenga kufufua zao ambalo hapo awali lilikuwa uti wa mgongo wa uchumi wa eneo la pwani. Kadri matumizi yanavyoanza kuongezeka, mabadiliko haya yanabadilisha uzalishaji na namna wakulima wadogo wanavyounganishwa na soko.