Wakulima wa miwa kutoka Busia walaumu serikali kwa uhaba wa miwa katika eneo hilo

  • | Citizen TV
    172 views

    Wakulima wa miwa kutoka kaunti ya Busia wameilaumu serikali kwa kuchangia uhaba wa miwa unaoendelea kushuhudiwa katika eneo la Magharibi.