Wakulima wa ndizi katika kaunti ya Taita Taveta wapania kupanua soko

  • | Citizen TV
    165 views

    Mamia ya wakulima wa ndizi katika kaunti ya Taita Taveta wanatazamia kupanua soko lao na kuongeza faida kufuatia kufunguliwa kwa eneo jipya la kukomaza na kuivisha ndizi mjini Voi. Eneo hilo sasa likitazamia kupunguza hasara kwa wakulima wa ndizi. Mradi huu ulianzishwa na shirika la Wakulima wa Ndizi kutoka Taveta la TATABA.