- 283 viewsDuration: 1:16Wakulima wa pamba katika kaunti ya Lamu wamelalamikia changamoto ya kupokea mbegu za mmea huo wakati wa misimu ya kilimo. Kulingana na wakulima hao, changamoto hizo huchangiwa na bei ghali ya mbegu hizo zinayozalishwa kutoka taifa la India . Wakulima hao sasa wanaishinikiza serikali kuunda mpango wa kuzalisha mbegu hizo humu nchini ili kurahisisha upatikanaji wa mbegu hizo na kwa wakati ufaao.