- 252 viewsDuration: 3:06Katika viunga vya Kaunti ya Nairobi, wakulima wamechangamkia kilimo cha pilipili mboga zenye rangi tofauti tofauti, ambazo zinakuzwa ndani ya vivungulio. Ni kilimo ambacho kinabadilisha ardhi kame kuwa yenye manufaa kupitia miradi ya kilimo biashara ambayo inawapa wakulima faida tele. Katika makala ya Kilimo Biashara