21 Nov 2025 10:22 am | Citizen TV 329 views Duration: 2:13 Kamishina wa Kaskazini Mashariki John Otieno ameelezea kutoridhishwa kwake na hatua zinachukuliwa na baadhi ya wakuu wa usalama kupambana na ugaidi katika eneo hilo.