31 Oct 2025 7:20 pm | Citizen TV 7,470 views Duration: 59s Washukiwa wanne wanaodai kuwa maafisa wa mamlaka ya afya ya jamii (SHA) wamekamatwa kwa tuhuma za kumtapeli mtu mmoja shillingi 251,000