18 Nov 2025 10:36 am | Citizen TV 358 views Duration: 2:09 Muungano wa walimu KUPPET unataka tume ya kuwaajiri walimu TSC kuajiri walimu zaidi ya 20,000 wanaohudumu katika shule za sekondari msingi.