Walimu kutoka Kajiado wapinga kupunguzwa kwa marupurupu

  • | Citizen TV
    72 views

    Vyama vya walimu KUPPET na KNUT tawi la Kajiado vimepinga vikali pendekezo la mkuu wa mawaziri Musalia Mudavadi kutaka marupurupu ya walimu wanaohudmu katika mzingira magumu kuondolewa au kupunguzwa.makatibu wa vyama hivyo Zadock Kisienya na Ely Korinko wanasema sehemu nyingi za Kajiado zina changamoto si haba ikiwemo usafiri, mashambulizi ya Wanyamapori, ukosefu wa maji na kadhalika, na hivyo kuondelewa kwa fedha hizo kutawatatiza sana walimu.