17 Nov 2025 10:09 am | Citizen TV 314 views Duration: 1:35 Walimu wanagenzi wa shule za sekondari msingi katika kaunti ya Kwale pamoja na chama cha walimu cha KUPPET wameshinikiza serikali kuwaajiri baada ya kuhudumu kwa kipindi cha mwaka mmoja.