Skip to main content
Skip to main content

Walimu wa JSS Narok wataka TSC iwape ajira ya kudumu

  • | Citizen TV
    167 views
    Duration: 1:48
    Wawakilishi wa KUPPET na Walimu wa JSS Kaunti ya Narok wanaitaka serikali kuu kuwapa ajira ya kudumu kama ilivyoafikiwa miaka miwili iliyopita.