Skip to main content
Skip to main content

Walimu wa JSS watishia mgomo wakidai ajira za kudumu

  • | Citizen TV
    348 views
    Duration: 2:31
    Wakati shule zikijiandaa kufunguliwa kwa muhula wa pili, walimu wa shule za sekondari za msingi (JSS ) wakiongozwa na viongozi wa KUPPET wametangaza rasmi kutorejea darasani kuanzia jumatatu ijayo,wakidai ajira ya kudumu na bima bora ya afya