Skip to main content
Skip to main content

Walimu wa shule za chekechea Kaunti ya Nandi watishia kuanza mgomo Jumatatu ijayo

  • | NTV Video
    184 views
    Duration: 1:30
    Walimu wa shule za chekechea Kaunti ya Nandi wametishia kuanza mgomo Jumatatu ijayo. Wanasema watasambaratisha masomo Kwenye Shule zote kushinikiza Serikali ya Kaunti kutekeleza matakwa yao kulingana na miongozo ya Tume ya Mishahara na Marupurupu, SRC.Walimu hao wanataka serikali ya kaunti kuwalipa marupurupu kwa wakati na kuwapatia barua za ajira kulingana na viwango vya mishahara wanavyostahili. Subscribe and watch NTV Kenya live for latest Kenyan news today and everyday as told by Kenyans. Get the Kenya news updates, discussions and other exciting shows. Website: https://www.ntvkenya.co.ke || Paper: Daily Nation || Twitter: @ntvkenya || Facebook: NTV Kenya || Instagram: NTV Kenya