Skip to main content
Skip to main content

Walimu wakuu wanaoongeza karo bila kushauriana na wizara ya elimu wataadhibiwa

  • | Citizen TV
    396 views
    Duration: 2:16
    Walimu wakuu wanaoongeza karo bila kushauriana na wizara ya elimu wataadhibiwa. Waziri wa elimu Migos Ogamba amesema kuwa serikali inatathmini malalamishi ya wazazi na wadau wengine kuhusiana na nyongeza za kiholela za karo kama ilivyofanya kuhusiana na shule ya upili ya wasichana ya alliance. Ogamba ameitaka tsc kuchukua hatua kali dhidi ya mwalimu mkuu wa alliance baada ya kuongeza karo kwa asilimia mia moja