- 238 viewsDuration: 2:56Walimu wakuu zaidi ya 3000 wa shule za msingi kutoka eneo la Nyanza wamehimizwa kutilia maanani madili na kuonyesha mfano bora kwa wanafunzi wakati wanapotekeleza majukumu yao. kwenye kongamano la siku tatu mjini Homabay, walimu hao wamepongezwa kwa juhudi zao za kufanikisha mfumo wa elimu wa CBE.