Skip to main content
Skip to main content

Walimu walalamikia kutopewa kandarasi za kudumu shuleni Kajiado

  • | Citizen TV
    143 views
    Duration: 4:58
    Walimu wa shule za sekondari msingi katika kaunti ya Kajiado wamejiunga na wenzao kote nchini kutoa shinikizo kwa serikali kuwapa ajira ya kudumu pamoja na kupewa mishahara ya juu. Walimu hao ambao wanasema watalazimika kuendeleza misururu ya maandamnano mwakani wameapa kutorejea darasani wakisema.