Wamiliki wa baa kutoka kaunti za Laikipia na Nyandarua wataka mikakati thabiti kuwekwa

  • | Citizen TV
    278 views

    Muugano wa wamiliki wa vilabu kaunti za Laikipia na Nyandarua umeitaka serikali kubuni mfumo muafaka wa kudhibiti baa na maduka ya vileo nchini.