Skip to main content
Skip to main content

Wamiliki wa shamba la Kishushe kaunti ya Taita Taveta walalamika

  • | Citizen TV
    421 views
    Duration: 2:05
    Wamiliki wa shamba la kijamii la Kishushe kaunti ya Taita Taveta wametishia kufanya maandamano hadi afisi ya rais baada ya wawekezaji wa kibinafsi kuingia kwenye shamba hilo ili kuendeleza uchimbaji madini bila ruhusa kutoka kwao