4 Dec 2025 2:08 pm | Citizen TV 441 views Duration: 1:13 Wahudumu wa bodaboda katika kaunti wa Garissa wametakiwa kuwa waangalifu wakati huu siasa zinapoanza kuchacha katika maeneo mengi ya kaunti hiyo.