Skip to main content
Skip to main content

Wanachama UDA kusubiri kwa uchaguzi kufanywa

  • | Citizen TV
    517 views
    Duration: 1:34
    Katika kaunti ya Tana River, viongozi na wafuasi wa chama cha UDA kutoka kaunti ya Tana River wameghadhabishwa na hatua ya chama hicho kuahirisha uchaguzi wa mashinani uliotarajiwa kufanyika hii leo hadi mwezi ujao ili kufanya maandalizi ya kutosha.