Skip to main content
Skip to main content

Wanachama wa chama cha NLP wanasema mashambulizi dhidi ya upinzani ni njama ya kuwatisha

  • | Citizen TV
    347 views
    Duration: 1:10
    Wanachama wa chama cha National liberal party wanasema mashambulizi dhidi ya upinzani ni njama ya kuwatisha. Kiongozi wa chama hicho, dkt. Augustus muli, anamtaka rais william ruto kuchukua hatua kali dhidi ya wahuni na wafadhili wao.ameonya kuwa hali hii inaweza kusababisha machafuko na kuvuruga demokrasia ya kenya