13 Apr 2026 7:16 pm | Citizen TV 3,846 views Duration: 1:33 Wanafunzi 27 kutoka chuo kikuu cha Kabianga walijeruhiwa kufuatia mkurupuko wa wanafunzi uliotokea baada ya upande mmoja wa darasa kuanguka, wanafunzi hao walipokuwa wanafanya mtihani.