Skip to main content
Skip to main content

Wanafunzi wa gredi ya kumi wanatarajiwa kuanza rasmi masomo yao wiki ijayo

  • | Citizen TV
    130 views
    Duration: 2:50
    Wanafunzi wa gredi ya kumi wanatarajiwa kuanza rasmi masomo yao wiki ijayo kufuatia kusambazwa kwa vitabu kwa shule za sekondari ya juu kote nchini. Taasisi ya mtaala nchini kicd na wizara ya elimu zikisema kuwa wachapishaji vitabu tayari wamechapisha vitabu na kusambaza asilimia 50 ya vifaa vya masomo. Brenda wanga anaarifu