Wanafunzi wafunzwa umuhimu wa kupiga kura shuleni St. Bakhita na tume ya uchaguzi nchini (IEBC)

  • | Citizen TV
    323 views

    Tume ya uchaguzi nchini IEBC, imeandaa uchaguzi wa viongozi wa shule ya msingi ya St. Bakhita, katika kaunti ya Nairobi na eneo bunge la Mavoko, kaunti ya Machakos.