Wanafunzi wahofia kuendelea na masomo ya vyuo

  • | Citizen TV
    1,800 views

    Huku Shule zikitarajiwa kufunguliwa mapema mwezi ujao wanafunzi wa vyuo vikuu katika eneo bunge la Kaiti kaunti ya Makueni wamelezea wasiwasi wao kuwa huenda gharama ya maisha itataiza masomo yao hasa wanapotafuta karo. Baadhi yao hawawezi kumdu karo ya vyuo na wanasema iwapo karo itaongozwa basi ndoto yao ya kuendeleana masomo haitatimia.