Skip to main content
Skip to main content

Wanafunzi wasoma chini ya miti Laikipia

  • | Citizen TV
    486 views
    Duration: 4:10
    Katika eneo la Laikipia Kaskazini, elimu imegeuka kuwa mapambano ya kila siku dhidi ya hali ya hewa, njaa, kutelekezwa na ukosefu wa usalama. Katika shule ya chekechea cha Namunyak, miti imekuwa madarasa, vitabu ni vya ardhini na usalama sio wenye uhakika. Watoto wenye ari ya kupata elimu wanalazimika kuvumilia hali ngumu ya hewa, huku wazazi wakihofia usalama wao. Sharon Nkonge na taswira kamili.