Skip to main content
Skip to main content

Wanafunzi wasusia kozi za ufundi kaunti ya Garissa

  • | Citizen TV
    298 views
    Duration: 1:48
    Viongozi kutoka kaunti ya Garissa pamoja na wadau wengine wa elimu wametamaushwa na idadi ndogo ya wanafunzi wanaojiunga na chuo cha mafunzo anuwai cha NENAP . Wakizungumza baada ya kufanya mkutano na kuzuru baadhi ya miundomsingi ya chuo hicho, wadau hao walihimiza wazazi kusajili watoto wao ili kunufaika na ujuzi badala ya kutegemea nafasi za ajira za ofisi ambazo ni chache mno.