- 1,513 viewsDuration: 1:48Wanafunzi wenye ulemavu kutoka shule ya msingi ya Tala integrated, kaunti ya Machakos, wameibuka washindi wa kitaifa katika densi na ubunifu kwenye mashindano yaliyokamilika hivi karibuni ya michezo ya kuigiza ambayo yalifanyika kaunti ya Nyeri