Skip to main content
Skip to main content

Wanamgambo wavamia wanahabari mpaka wa Pokot na Turkana

  • | Citizen TV
    4,187 views
    Duration: 2:39
    Hali ya wasiwasi imeendelea kugubika maeneo ya mpaka wa Pokot magharibi na Turkana kufuatia vifo vya zaidi ya watu 10 katika kipindi cha wiki mbili zilizopita. Hali hii ikiweka hatarini maisha ya wanahabari waliojipata kwenye ati ati hii ya usalama.