- 367 viewsDuration: 3:08Maafisa wa jeshi wamehimizwa kubadilisha dhana hasi ya umma dhidi yao kwa kuonesha matendo ya upendo pamoja na utu. Ujumbe huu ulitawala ibada ya kutoa shukrani kwa maafisa wa jeshi Kiambu ambao pia walitoa heshima kwa wenzao waliofariki wakiwa kazini. Maafisa hao pia walishauriwa kuthamini shughuli za utoaji fadhila pamoja na kusaidia watu wasiojiweza ili kufuta dhana potovu miongoni mwa umma kwamba maafisa wa jeshi hukosa upendo. Connect with KBC Online; Subscribe to our channel: https://t.ly/86BKNc Follow us on Twitter: https://twitter.om/KBCChannel1 Find us on Facebook: https://www.facebook.com/kbcchannel1TV Check our website: https://www.kbc.co.ke/ #kbcchannel1 #news #kbclive