Baadhi ya wanasiasa wanaoegemea mrengo wa Rais William Ruto wamepuuzilia mbali semi za aliyekuwa waziri wa usalama wa taifa Fred Matiang’i, aliyedai kuwepo kwa watu ambao sio raia wa Kenya, wanaosajiliwa na kupewa vitambulisho vya kitaifa. Wakizungumza mjini Oda kaunti ya Tana River, viongozi hao wakiongozwa na waziri wa usalama wa taifa Kipchumba Murkomen waliyataja matamshi hayo kuwa ya uchochezi na hatari.
Connect with KBC Online;
Subscribe to our channel: https://t.ly/86BKNc
Follow us on Twitter: https://twitter.om/KBCChannel1
Find us on Facebook: https://www.facebook.com/kbcchannel1TV
Check our website: https://www.kbc.co.ke/
#kbcchannel1 #news #kbclive