17 Apr 2026 10:36 am | Citizen TV 329 views Duration: 2:07 Huku usajili wa wapigakura wapya ukiendelea kote nchini baadhi ya idara za serikali zimewaonya watu wanaoeneza dhana kuwa hatua hiyo ya usajili wa wapigakura imepangwa kufaidi serikali katika uchaguzi mkuu mwakani.