4 Dec 2025 12:53 pm | Citizen TV 371 views Duration: 1:34 Wanaharakati wa haki za binadamu wamewahimiza wanaume katika Kaunti ya Nandi kujitokeza na kuripoti visa vya unyanyasaji wanaopitia ili kukomesha dhulma zakijinsia