5 Dec 2025 10:12 am | Citizen TV 264 views Duration: 1:55 Wanawake zaidi ya 13,000 kutoka vijiji tisa eneo la Garashi, kaunti ya kilifi, watanufaika na uzinduzi wa Kituo cha kuhifadhi watu hasa watoto ambao ni waathiriwa wa dhulma za kijinsia