Skip to main content
Skip to main content

Wanyonyi na Beatrice Chebet watwaa tena tuzo za wanamichezo bora SOYA

  • | Citizen TV
    186 views
    Duration: 1:41
    Mabingwa wa dunia Emmanuel Wanyonyi na Beatrice Chebet kwa mara nyingine walitajwa kuwa wanamichezo bora katika tuzo za 22 za wanamichezo bora wa mwaka (SOYA Awards 22nd edition), wakitetea mataji yao katika vitengo vya wanaume na wanawake mtawalia.