Skip to main content
Skip to main content

Warsha ya Akiliunde Nairobi yawalenga vijana 2,700 wa uvumbuzi

  • | Citizen TV
    184 views
    Duration: 1:39
    Taasisi ya kitaifa ya utafiti ya niru imewaleta pamoja wavumbuzi, watafiti na wataalam wa teknolojia KW warsha ya siku mbili inayonuiwa kuimarisha utaalam wa akiliunde kukabili changamoto za usalama na afya.