4 Nov 2025 10:20 am | Citizen TV 184 views Duration: 1:25 Kama njia ya kutoa shinikizo kuhusu ugonjwa wa kiharusi , washikadau wa maswala ya afya waliandaa matembezi na mbio katika viwanja vya hospitali ya Kenyatta hapa jijini Nairobi