Washindi 4 wa bonasi ya Shabiki wametuzwa hii leo

  • | Citizen TV
    122 views

    Washindi wanne wa bonus ya Shabiki Midweek Jackpot wametuzwa leo, kwenye shindano hilo la kitita cha shilingi milioni 1,164,021 ambacho hakijapata mshindi kufikia sasa. Kelvin Marigu kutoka kaunti ya Embu nusra aponyoke na kitita hicho ila alibwagwa na mechi moja kwani alibashiri mech 12 kati ya 13 sahihi na ameapa kuendelea hadi pale atakapotia mfukoni zawadi ya shilingi 1,164,021. Shindano la Midweek Jackpot na Supa Jackpot kwenye Shabaki.com inaendelea.