Washukiwa 4 wakamatwa kwa mauaji ya mfanyibiashara Jayesh Kumar Kanji

  • | Citizen TV
    6,375 views

    Maafisa wa upelelezi jijini Nairobi wanawazuilia washukiwa wanne wanaodaiwa kuhusika na mauaji ya mfanyibiashara mmoja raia wa India na kuteketeza mwili wake kwa kutumia asidi. Washukiwa wanne tayari wamefikishwa mahakamani kuhusiana na mauaji ya mfanyabiashara huyo Jayesh Kumar Kanji.