Skip to main content
Skip to main content

Washukiwa wa uvamizi All Saints wazuiliwa siku 10 zaidi

  • | Citizen TV
    499 views
    Washukiwa watatu waliohusishwa na uvamizi katika All Saints' Cathedral Nairobi wamefikishwa mahakamani leo. Washukiwa hao sasa wamezuiliwa kwa siku kumi zaidi ili kutoa nafasi ya uchunguzi kukamilika. Franklin Walla anaripoti kuhusu watu hao waliokamatwa kufuatia matukio ya Ijumaa iliyopita wakati wa uvamizi katika kanisa hilo.